KARIBU KWENYE JUKWAA LETU

« Older   Newer »
 
  Share  
.
  1. B Halisi
        Like  
     
    .

    User deleted


    UTANGULIZI
    Jukwaaletu ni nini?
    Jukwaaletu Jukwaaletu ni mtandao/forum ambalo linaunganisha watu kutoka sehemu mbali mbali nchini, kupitia jukwaa letu utaweza kubadilishana mawazo na kushea ideas tofauti tofauti kama vile kupashana habari mpya, kuelimishama , kupeana taarifa mbali mbali na watu mbali mbali. Jukwaaletu ni forum kwaajili ya watu wote .Hivyo basi unakaribishwa kujiunga ili uwe member wa forum hili.

    NAMNA KUJIUNGA NA JUKWAALETU
    Ili uweze kuwa member kwenye jukwaa hili unatakiwa kujiunga kwa kutumia email yako au akaunti yako ya facebook au akaunti yako ya google (googleplus).Ukijiunga na kuwa member katika forum hili utaweza kutuma post katika kipengele chochote kati ya vilivyoorodheshwa kwenye page yetu ya mwanzo. Ni rahisi sana kujiunga , unachotakiwa kufanya ni kulog in kwenye akaunti yako ya facebook au gmail akaunti na utatumia linki zifuatazo kujiunga moja kwa moja. .

    KUJIUNGA KWA NJIA YA FACEBOOK BOFYA HAPA

    KUJIUNGA KWA NJIA YA GOOGLE AKAUNTI BOFYA HAPA

    JIUNGE SASA NA UANZE KUSHEA IDEAS NA MADA MABALI MBALI, KARIBUNI KWENYE JUKWAA LA NYUMBANI

    Edited by Mdede sumu toxic - 10/7/2016, 07:32 AM
    Attached Image
    NAMNA YA KUJIUNGA

     
    .
  2. Mgumu g
        Like  
     
    .

    User deleted


    Pamoja kaka tume :blink: kupata
     
    .
  3. B Halisi
        Like  
     
    .

    User deleted


    QUOTE (Mgumu g @ 22/7/2016, 21:40) 
    Pamoja kaka tume :blink: kupata

    gud :D :rolleyes:
     
    .
2 replies since 22/7/2016, 18:29   155 views
  Share  
.